hii Collection haipo kwenye lugha yako, kuangalia kwa: English (en),
au tumia ufasiri wa google:  

A future worth living for future generations in the project countries and worldwide: this is the goal the staff at SWISSAID works towards every day.  There are 40 people in Berne and Lausanne and about 150 mostly local men and women in project countries. And quite a few partner organisations and patrons, on whose trust we have been building for years. 1. A future worth living for future generations in the project countries and worldwide: this is the goal the staffat SWISSAID works towards every day. There are 40 people in Berne and Lausanne and about 150 mostly local men and women in project countries. And quite a few partner organisations and...
 2. Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) is a registered NGO formed in 2005 under the NGO Act of 2002. We are an umbrella organization that coordinates and promotes the development of organic farming among farmers, distributors and consumers through networking and information distribution....
 3. EOA Documentary
 4. A future worth living for future generations in the project countries and worldwide: this is the goal the staffat SWISSAID works towards every day. There are 40 people in Berne and Lausanne and about 150 mostly local men and women in project countries. And quite a few partner organisations and...
 5. Baadhi ya wakulima na wajasiriamali nchini Tanzania wakielezea ni kwa namna gani ya kufanya Kilimo Hai kibiashara.
 6. Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea faida za "kilimo mseto" na jinsi ya kukitekeleza katika Kilimo Hai.
 7. Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea faida na uzoefu wao katika matumizi ya mbegu za asili (zilizoandaliwa na wakulima wenyewe).
 8. Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea ni kwa namna gani Kilimo Hai kinaboresha hali ya maisha katika kaya.
 9. Baadhi ya wafugaji na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea mbinu bora za ufugaji (wanyama na samaki).
 10. Baadhi ya wakulima na wataalamu watumiao programu ya Macho Sauti nchini Tanzania wakielezea uzoefu wao jinsi ukuwaji wa tehama unavyosaidia katika kupashana habari sahihi za Kilimo Hai.
 11. Baadhi ya wakulima na wajasiriamali toka nchini Tanzania wakielezea mwelekeo chanya wa masoko ya bidhaa za Kilimo Hai.
 12. Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea mbinu mbalimbali katika kuhifadhi mazao kuepuka upotevu baada ya kuvuna.
 13. Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea mbinu mbalimbali za kudhibiti visumbufu (wadudu na magonjwa) katika mazao.
 14. Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea mbinu bora za Kilimo Hai za kurutubisha udongo.
 15. Video hii ilitolewa na SWISSAID Tanzania kusimulia hadithi ya uhuru wa mbegu.
 16. CROPS4HD is an international collaborative project of three NGOs co-funded by the Swiss Agency for Development and Cooperation, Global Programme Food Security. Starting in 2021, it will run for ten years. CROPS4HD collaborators are SWISSAID, FiBL, and AFSA. CROPS4HD seeks to improve food security...