Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea faida na uzoefu wao katika matumizi ya mbegu za asili (zilizoandaliwa na wakulima wenyewe).