Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) is a registered NGO formed in 2005 under the NGO Act of 2002. We are an umbrella organization that coordinates and promotes the development of organic farming among farmers, distributors and consumers through networking and information distribution. TOAM sees development of the organic farming sector as a crucial factor for sustainable livelihoods and envisions establishing a vibrant, sustainable and mutually beneficial organic sector in Tanzania.

Our 115 members include various types of institutions and organizations such as farmers associations and cooperatives, NGOs, organic operators, companies, distributors, researchers and trainers. TOAM provides and distributes information on organic food to its members and other stakeholders in the whole of Tanzania.

Vision: TOAM envisions to establish a vibrant, sustainable, and mutually beneficial organic sector in Tanzania.

Mission: TOAM exists to provide capacity building on organic practices, quality management for compliance to organic standards, improvement to value chains, lobbying and advocating for supportive policies, and information collection and distribution.

Strategy: TOAM implements projects with partners to reach out and support smallholder farmers in improving their livelihoods and adapting to climate change while conserving the environment and biodiversity

Please check the Kilimohai website for the latest additions to resources.

13 Matoleo katika Chapisho hili (Inaonyesha masuala - 4)

TOAM Poster - Shamba Mfuko

Shamba mfuka ni bustani ndogo ya mbogamboga iliyotengenezwa kwenye kiroba iliyo karibu na nyumba.

TOAM Poster - Mbolea Mboji

Ongeza mavuno yako kwa kutumia mboji!

TOAM - Mifumo ya kilimo mseto

 

Faida za kilimo mseto.  Ongeza uzalishaji wa shamba lako kwo kupanda miti!

http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials

TOAM - Jimsi gani wakulima wa kilimo hai wanafaidika na bioanuai?

Jimsi gani wakulima wa kilimo hai wanafaidika na bioanuai?  Bioanuai ina punguza wadudu, inatunza udongo na uhahika wa chakula.

Kilomohai Training Materials http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials

TOAM - Namna ya kutayarisha

Namna ya kutayarisha: Dawa za Asili.   Kiua wadudu ni mchanganyiko ambao unaweza kuua na kufukuza wadudu.

Kilomohai Training Materials http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials

Mwongozo wa Mafunzo ya Kilimo-Hai Afrika - 20-01-2011

Malengo ya kujifunza kwa wakulima:

  • Kutofautisha baina ya viumbe rafi ki kwa mimea na wadudu, magonjwa na magugu
  • Kujenga ufahamu wa viumbe muhimu sana vinavyozuia uzalishaji na hifadhi ya mazao ya kilimo
  • Kuelewa kwa nini udhibiti wa wadudu, magonjwa na magugu haupaswi kuishia katika kupuliza viuatilifu tu, lakini panatakiwa kuwepo na mazingira mazuri kwa ukuaji wa mimea ili kukuza uhimil na ustahimilivu wao na kuhimiza taratibu za kiasilia za udhibiti kwa kuongeza matumizi ya viumbe adui wa wadudu na vimelea
  • Kutambua zana za kilimo-hai za kudhibiti wadudu, magonjwa na magugu na kuweza kuziunganisha inavyostahili ili kuzuia matumizi ya viuatilifu

Kilomohai Training Materials http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials

TOAM - Ninawezaje kudhibiti wadudu waharibifu na magonjwa kwa njia asilia?

Wakulima huwachukulia viumbe vinavyopunguza mavuno kuwa ni wadudu waharibifu na magonjwa. Wadudu, ndege au wanyama wengine huchukuliwa kama wadudu waharifu wakati wowote ule wanaposababisha uharibifu wa mazao au kwa mavuno yaliyohifadhiwa kwenye ghala. Fangasi, bakteria na virusi hutambulika kama magonjwa, wanapoingilia au kubadili shughuli muhimu za ukuaji wa mimea au mavuno yaliyohifadhiwa. Lakini kimsingi vijidudu vyote ni sehemu ya mfumo asilia, bila kujali wanafanya nini, na wanastahili tuwaheshimu.

 

Kilomohai Training Materials http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials

TOAM - Bioanuai ni nini?

Bioanuai ni nini?  Bioanuai maana yake kutumia mazao mengi na wanyama kwa pamoja

Kilomohai Training Materials http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials

TOAM Poster - Mbolea ya Maji

Sihitaji mbolea za viwandani, ninatumia mbolea ya maji.

TOAM 4 - Pest and disease management - 20-11-2019

Je, ninahitaji kujua kitu gani?  Ni muhimu ni vimelea gani vinasababisha uharibifu shambani.  Utambuzi sahihi wa kimelea ni hatua y kwanza katika udhibiti athirifu wa wadudu waharibifu na magonjwa.