Baadhi ya wakulima na wataalamu wa Kilimo Hai nchini Tanzania wakielezea faida za "kilimo mseto" na jinsi ya kukitekeleza katika Kilimo Hai.