Habari mpya za ECHOcommunity

Shirikisha uzoefu wako na uvumbuzi huu 2025-12-02

ECHO inakusanya mrejesho (maoni) kwenye bunifu nne za kilimo kati ya nyingi zinazofanywa kwa ushirikiano kwenye mtandao wetu wa kimataifa:

  1. Lishe endelevu – kutumia mazao ya kudumu kama chaya na mlonge kuboresha lishe ya binadamu;
  2. Kufunga mbegu kwa kutumia pampu ya baiskeli yenye mfumo wa kuvuta hewa (vacuum sealing) kwa ajili ya kuhifadhi mbegu;
  3. Silaji (chakula cha mifugo) kutoka kwenye mashina ya ndizi; na
  4. Biochar kwa ajili ya kuboresha udongo na kuhifadhi kaboni.

kushiriki katika utafiti

Maoni yako yatatusaidia kuelewa jinsi ubunifu huu umetumika, umechukuliwa, na kushirikishwa katika muktadha wako.
Utafiti huu unatarajiwa kuchukua takribani dakika 5 kwa kila mada kukamilika. Majibu yako yatatumika kuongoza mafunzo, utafiti, na msaada wa baadaye ndani ya mtandao wa ECHO. Majibu yako pia yanaweza kuchangia katika utafiti unaolenga kuelewa jinsi ubunifu wa kilimo unasambazwa na kutekelezwa katika mazingira mbalimbali. Unaweza kukataa kushiriki au kuacha kujaza dodoso wakati wowote bila adhabu yoyote.
Asante kwa kushirikisha uzoefu wako na kuchangia katika jitihada hizi za kujifunza kwa ushirikiano.

Kuhusu ECHOcommunity

ECHOcommunity ni uanachama wa kijamii ambao hutoa upatikanaji wa karibu rasilimali zote kwenye mtandao, kama vile zana za mawasiliano kusaidia wafanyakazi wa maendeleo kuungana na kila mmoja.

soma zaidi

Matukio yajayo

TOT with Global CHE Network
J3, 23 Mwezi wa pili 2026 » Ij, 27 Mwezi wa pili 2026

ECHO North America, United States

Those interested in preparing for short/long-term involvement in community and agricultural development internationally are encouraged to participate in this five-day (35 hours) training course. Course participants will gain an introduction to aspects of poverty and community development and an orientation to ECHO. They will also receive instruction on proven community development, including agricultural principles/practices and practical techniques, systems and technologies to meet wholi...

ECHO Asia: Faith and Farming Course
J3, 2 Mwezi wa tatu 2026 » Ij, 6 Mwezi wa tatu 2026

ECHO Asia Impact Center, Thailand

Faith and Farming is a Bible-based initiative that connects Scripture with the daily lives of farmers, helping them see how their faith and work come together to reflect God’s greatness. Join LEAD Global and ECHO Asia as co-hosts for a 5-day immersive course that brings the Bible to life through the lens of agriculture, sustainability, and discipleship. This hands-on experience is ideal for farmers, agricultural workers, and those who walk alongside them in ministry or development work. ...

ECHO Asia: Sri Lanka Agriculture Networking & Training Event
J4, 24 Mwezi wa tatu 2026 » Al, 26 Mwezi wa tatu 2026

Sri Lanka

Details coming... :)

ECHO Asia: NE India Agriculture Networking & Training Event
J4, 7 Mwezi wa nne 2026 » J5, 8 Mwezi wa nne 2026

India

Details coming... :)

Introduction to Tropical Agriculture Development - April 2026
J3, 13 Mwezi wa nne 2026 » Ij, 17 Mwezi wa nne 2026

ECHO North America, United States

Those interested in preparing for short to long-term involvement in international agriculture development are encouraged to participate in this five-day course.  Topics and discussions will focus on improved food security and agricultural livelihoods for small-scale farmers in developing countries.  Participants will be introduced to the complexities related to poverty and community development.  They will also be introduced to principles and practices that contribute toward maintaining healt...

Rasilimali za karibuni

Upakiaji...

kalenda [ zaidi ]