Je, ninahitaji kujua kitu gani?  Ni muhimu ni vimelea gani vinasababisha uharibifu shambani.  Utambuzi sahihi wa kimelea ni hatua y kwanza katika udhibiti athirifu wa wadudu waharibifu na magonjwa.