1. Shamba mfuka ni bustani ndogo ya mbogamboga iliyotengenezwa kwenye kiroba iliyo karibu na nyumba.





  2. Jimsi gani wakulima wa kilimo hai wanafaidika na bioanuai? Bioanuai ina punguza wadudu, inatunza udongo na uhahika wa chakula. Kilomohai Training Materialshttp://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials





  3. Namna ya kutayarisha: Dawa za Asili. Kiua wadudu ni mchanganyiko ambao unaweza kuua na kufukuza wadudu. Kilomohai Training Materialshttp://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials





  4. 20-01-2011 Malengo ya kujifunza kwa wakulima: Kutofautisha baina ya viumbe rafi ki kwa mimea na wadudu, magonjwa na magugu Kujenga ufahamu wa viumbe muhimu sana vinavyozuia uzalishaji na hifadhi ya mazao ya kilimo Kuelewa kwa nini udhibiti wa wadudu, magonjwa na magugu haupaswi kuishia katika kupuliza...
  5. Wakulima huwachukulia viumbe vinavyopunguza mavuno kuwa ni wadudu waharibifu na magonjwa. Wadudu, ndege au wanyama wengine huchukuliwa kama wadudu waharifu wakati wowote ule wanaposababisha uharibifu wa mazao au kwa mavuno yaliyohifadhiwa kwenye ghala. Fangasi, bakteria na virusi hutambulika kama...
  6. Bioanuai ni nini? Bioanuai maana yake kutumia mazao mengi na wanyama kwa pamoja Kilomohai Training Materialshttp://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials





  7. Faida za kilimo mseto. Ongeza uzalishaji wa shamba lako kwo kupanda miti! http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials
  8. 20-11-2019 Je, ninahitaji kujua kitu gani? Ni muhimu ni vimelea gani vinasababisha uharibifu shambani. Utambuzi sahihi wa kimelea ni hatua y kwanza katika udhibiti athirifu wa wadudu waharibifu na magonjwa.
  9. 20-11-2019 Je, Ninahitaji kujua kitu gani kuhusu udongo na maji? Mimea na wanyama wanahitaji maji wakati wote ili wakue vizuri. Uhaba wa maji hupunguza uwezo wa udongo kulisha virutubisho kwa mimea inayokua, hata rutuba iwe nyingi kiasi gani.
  10. 20-11-2019 Nitahitaji kujua nini kuhusu mboji kwenye udongo? Mboji ni muhimu kwa uwezo wa udongo kutunza virutubisho na kuvitoa kwa mimea inapohitaji
  11. 20-11-2019 Ninahitaji kujua nini kuhusu udongo?