Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) Publications TOAM 2 - Kitini cha kilimo hai Mboji ya udongo
Limechapishwa: 20-11-2019
![](http://assets.echocommunity.org/publication_issue/d8aca7a1-392d-445d-853b-9b3e0789eb0f/sw/toam-2-kitini-cha-kilimo-hai-mboji-ya-udongo__0.jpg?w=400)
Nitahitaji kujua nini kuhusu mboji kwenye udongo?
Mboji ni muhimu kwa uwezo wa udongo kutunza virutubisho na kuvitoa kwa mimea inapohitaji