Kiwavi jeshi vamizi ni mdudu mhalifu kwa mimea haswa mahindi na anaweza kumaliza zao lako lote. Kingo maarufu kulinda zao la mahindi ni kuchunguza na kukabiliana na viwavi mapema. Katika video hii, tutaelezea jinsi ya kutambua viwavi ili uchukue hatua ya kulinda zao lako na jamii yako