Vile mtu yeyote anaweza unda na kutumia choo chake wakati wowote kwa kutumia nayasi ya vetiva.

Matumizi ya nyasi ya vetiva yachukuliwa pahala pa utumiaji wa choo cha kuchimbiwa,huleta ufaraga/ficha siri na kuifanya choo cha watu/usaha kuumbuka kwa haraka.Nyasi kwa jina jiji vilivile zinaweza tumiwa katika mahali penye baridi au ukali wa mazingira ambapo vetiva hazikui.

Sio ghali kama vyoo vya kawaida (ni dola 25-50) ishirini na tano hadi hamsini badala ya (dola mia tano (500).