1. Machapisho ya ECHO yanatazamwa katika www.ECHOcommunity.org kama yafuatayo: ECHO Development Notes ( EDN ) , East Africa Notes ( EAN ) Technical Notes (TN), na ECHO East Africa Symposiums ( EEAS ). Technical Notes na EDN zinaweza kupatikana kwa kubonyeza “ Publications “ juu ya mtandao wa shirika...