Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la kutengeneza chips na unga wa viazi vitamu. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.


vitambulisho

Sweet Potato

Mikusanyiko