Agrodok hii inatoa maelezo kamili kuhusu jinsi ya kustawisha aina tatu za uyoga: oyster, shiitake na wood-ear. Ufunguzi unaanza na muhtasari wa biolojia ya uyoga, ukifuatiwa na majadiliano yanayohusu mashamba ya uyoga, uzalishaji wa spawn, maandalizi ya substrate,kuzaa matunda, jinsi ya kumudu wakati wa kuvuna na baada ya mavuno. Majadiliano haya pia uhusisha mifano mbalimbali.

Maelezo ya Uchapishaji

  • Limechapishwa: 2005
  • Mchapishaji: Agromisa Foundation and CTA
  • ISBN-10: 9085730384
  • Dewey Decimal: 635.8
  • Maktaba ya ECHO: 635.8 AGR
  • Maktaba ya Asia ya ECHO: PD.023