Articles


Mbinu mbalimbali za kuhifadhi maji na udongo na kuzuia mmomonyoko wa ardhi

Erwin Kinsey

Machapisho ya ECHO yanatazamwa katika www.ECHOcommunity.org kama yafuatayo: ECHO Development Notes ( EDN ) , East Africa Notes ( EAN ) Technical Notes (TN), na ECHO East Africa Symposiums ( EEAS ). Technical Notes na EDN zinaweza kupatikana kwa kubonyeza “ Publications “ juu ya mtandao wa shirika la ECHO, ECHOcommunity.org; Nyaraka za Afrika Mashariki zinapatikana kwa Kufuatia “ East Africa Center” tab kwenye orodha kuu . Nyaraka za ECHO zinapatikana kwa wanachama wa ECHOcommunity.org; ubonyeze “ Register”, na kutoa maelezo ili kujiandikisha, bila malipo, kwa kupata taarifa za msingi kama mfanyakazi wa maendeleo ya kilimo.


mikoa/kanda

East Africa