d-lab.mit.edu/resources/public...-clay-pot-coolers

Kipozaji cha mvukizo (Evaporative Cooler) kwa Uhifathi wa mboga na Matunda

Kutumia vyombo vya udongo vya kupoza kuhifadhi mboga na matunda kunaweza kupunguza uharibifu na kuzuia hasara za baada ya kuvuna. Vikitunzwa vizuri, evaporative coolers huleta faida nyingi kwa wakulima kama:

  • Kupunguza hasara za baada ya kuvuna
  • Kupunguza safari za sokoni.
  • Kupunguza gharama.
  • Kupatikana zaidi kwa mboga zenye madini