Saratani ya mapafu ni ugonjwa unaoweza kushughulikiwa, iwapo utajulikana mapema na pia iwapo kutakuwepo na matibabu yanayofaa.Uhuishaji huu utaangazia njia za kuzuia saratani ya mapafu, na njia za kugundua ugonjwa huu mapema. Iwapo unadhani upo kwenye hatari ya kuwa na saratani ya mapafu, kuna uchunguzi wa ugonjwa huu ambao hufanyika na ni haraka, rahisi na hauna uchungu wowote.

Mikusanyiko