foodgrainsbank.ca/conservation-a...ure-newsletter/

Kuweka uwiano kati ya mahitaji ya mifugo na haja ya kuweka udongo ukiwa umefunikwa ni changamoto endelevu katika kilimo Hifadhi duniani kote. Wakati mabaki ya mazao, nyasi, na matandazo ugavi wake umepungua, afya ya wanyama na afya ya udongo hutetereka. Mashindano kwa ajili ya vifaa hivi unaweza kusababisha migogoro kubwa kati ya wafugaji na wazalishaji wa mazao. Katika jarida la March, 2018 newsletter, tumewatia moyo wasomaji kushughulikia changamoto hii kwa kuongeza uzalishaji wa chakula cha wanyama. Mwezi huu sisi tungependa kuchunguza mikakati mingine ikiwa ni pamoja na udhibiti wa masalia ya mimea na kusimamia malisho.

Katika warsha ya hivi karibuni huko kaskazini mwa Uganda, washiriki walinishirikisha baadhi ya mikakati wanayotumia katika kuondokana na changamoto hizi. Wakati ambapo mikakati hii haiko kamili, imekwisha kujaribiwa na kuhakikishwa na washirika wa CFGB katika mashamba yao.

Na Neil Rowe Miller, Afisa ufundi wa Kilimo hifadhi Mashariki mwa Afrika

Canadian Foodgrains Bank December, 2018 JARIDA LA KILIMO HIFADHI