English (en) | Change Language  1. 2019-11-20 UTANGULIZI Uhifadhi wa mazao ya kilimo ni hatua ya mwanzo kabisa mara baada tu ya kuvuna. Hatua zifuatazo huzingatiwa katika uhifadhi bora wa mazao ya kilimo; kuweka mazao katika hali ya usafi, ubaridi, kuchambua, kutenga katika makundi kulingana na ubora na kufungasha. Uhifadhi na usimamizi...  2. 2019-11-20 Mbegu ni sehem ya mmea ambayo hutumika kuzalisha/kuotesha mmea mwingine, yaweza kuwa ni zao la ua au sehem ya mmea iliyokomaa na kuwa tayari kuendelea kuoteshwa tena, mfano vipando vya muhogo Mbegu ni mojawapo ya pembejeo muhimu katika kilimo. Mbegu za daraja la kuazimiwa ubora (QDS) ni mojawapo...  3. 2019-11-20 Benki za mbegu za jamii ni taasisi zisizo rasmi, zinazoongozwa na kusimamiwa na wakulima au serikali za mitaa na vijiji ambayo kazi ya msingi ni kuhifadhi mbegu kwa ajili ya matumizi ya ndani. Benki hizi zinapatikana katika maeneo mengi duniani na zimekuwepo kwa miaka mingi zikiwa na lengo la...  4. 2019-11-20 Mbegu ni moja ya pembejeo kuu za uzalishaji wa chakula. Wakulima duniani kote wamekuwa wakijua jambo hili kwa karne nyingi. Mamilioni ya familia na jamii za kilimo wamefanya kazi ya kuchagua mbegu na kuzitunza kwa ajili ya matumizi ya msimu wa kilimo unaofuata. Hii ndio imeruhusu kilimo kuenea na...  5. 2019-11-20 A. Matarajio ya mwongozo Wafugaji wataweza - Kujenga banda bora la kufugia kuku - Tengeneza lishe bora - Tunza kumbukumbu vizuri za ufugaji - Kutibu magonjwa kulingana na yalivyoelekezwa - Watafanya uchaguzi sahihi wa ufugaji kulingana na maeneo Yao. - Kutambua na kudhibiti magonjwa - Kuwa...  6. 2019-11-20 Ni kilimo kilicho hai, kilimo chenye kuhusishwa na mazingira bora, mfumo wa usimamizi wa maliasili (mfano: misitu) ambao, kwa kupitia mchanganyiko wa miti mashambani au kwenye ardhi ya kilimo, hupanua wigo na kuongeza uzalishaji na hivyo kuongeza uchumi katika ngazi ya familia hadi Taifa na...  7. 2019-11-20 Mwongozo wa mafunzo y uzalishaji wa mazao ya mbogamboga  8. 2019-11-20 Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na: Chakula cha wanyama / mifugo (Mashudu na majani), kurutubisha...