这 Book 用你的语言不存在, 用...查看: Kiswahili (sw),
或使用谷歌翻译:  

该书已不再出版。

Hiki siyo kitabu cha kusoma tu.  Ni kitabu cha kujifunza wewe mwenyewe, pamoja na jamii hako, marafiki, na jirani.  Soma yale Mchungaji Simeoni anasema.  Taxama yale amefany na usikilize mambo anayoshauriana na wengine.  Jaribu kuelewa vile Mchungaji Simeoni anajianda  kutatua shida za nchi, msitu, na chemichemi za maji.  Jifunze kutoka kwake jinsi ya kutatua shida sawa na zake, ambazo unaweza kuwa nazo.  Anza kushauriana na wengine ilikugundua yale mnaweza kushirikiana pamoja ili kurejesha nchi.  Tunaporejesha nchi, tunaanza kutambua maisha bora ambayo Mungu anataka tuwe nayo. 

出版物详细信息

  • 已出版: 2007
  • Dewey Decimal: 333.009
  • ECHO 图书馆: 333.009 FOU