这 Publication Issue 用你的语言不存在, 用...查看: Kiswahili (sw), English (en),
或使用谷歌翻译:  

Je, Ninahitaji kujua kitu gani kuhusu udongo na maji?   Mimea na wanyama wanahitaji maji wakati wote ili wakue vizuri.  Uhaba wa maji hupunguza uwezo wa udongo kulisha virutubisho kwa mimea inayokua, hata rutuba iwe nyingi kiasi gani.