1. 01-01-2005 uyoga aina ya oyster, shiitake na wood-ear Agrodok hii inatoa maelezo kamilifu juu ya namna ya kustawisha aina tatu za uyoga-oyster, shiitake na wood ear. Aina hizi za uyoga hasa ni rahisi kustawishwa kwa wakulima wadogo. Kustawisha aina nyinginezo za uyoga kama white button na inayotokana na...